GSM AMESHINDA KUJENGA UWANJA WA YANGA


Na Amini Nyaungo



GSM imeshinda tenda ya kujenga uwanja wa Yanga Africans.


Hayo ameyasema leo Afusa Habari wa Yanga Ali Kamwe akiongea na Waandishi wa Habari ofusu za timu hiyo.


Kamwe amesema kuwa baada ya kuchambua walioomba kujenga uwanja huo wameona Kampuni ya GSM kuchukua zabuni hiyo.


Baada ya hapo klabu itakaa na mzabuni aliyeshinda ili kuona namna ganu wanaliendea jambo hilo la kihistori

Post a Comment

Previous Post Next Post