ASP MDENDEMI ATOA ELIMU KWA WANAFUNZI SINGIDA

Na Sylivester Machibya



Leo Februari 4, 2026 Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto ASP THERESIA MDENDEMI ametoa elimu juu ya utendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kwa wanafunzi wa Shule ya Masingi Mughanga iliyopo Kata ya Mughanga Manispaa ya Singida.



Katika elimu hiyo Mdendemi amewaelimisha wanafunzi wa Shule hiyo zaidi ya 800 aina za ukatili wa kijinsia, viashiria vya ukatili wa kijinsia na namna ya kutoa taarifa pindi inapobainika kufanyika.







Post a Comment

Previous Post Next Post