HABARI

MICHEZO

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

HABARI

HABARI

MAKALA

» » DENDEGO AHAMASISHA VIJANA KUFANYAKAZI ASIYE NA HELA HATOBOI


Na Amini Nyaungo
Mkuu wa mkoa wa Singida Bi Halima Dendego amewataka vijana kufanyakazi na kuacha utegemezi kwa wazazi wao ambao wanawafanyia kila kitu watoto ambao wamefikisha umri wa kufanyakazi.
Ameyasema hayo leo katika uzinduzi wa Programu ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi iloyofanyika katika ukumbi wa RC Mision mkoani hapa.


Amewaambia vijana wafanyekazi kwani bila ya kujishughulisha hawawezi kupata maisha mazuri ikiwemo kupata wanawake wazuri na hiyo inapelekea kufanya matendo ya ukatili kwa kuwabaka watoto pamoja na kuwavizia wanafunzi.
"Kama huna hela nani atakukubali, fanyenikazi acheni kuwategemea wazazi," Dendego.

Aidha amewataka wazazi kuwasimamianvyema watoto wao ili wakajitume na kutafuta kazi zakuwasaidua kuepuka matendo ya hovyo.

Mwisho.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply