HABARI

MICHEZO

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

HABARI

HABARI

MAKALA

» » KIBWETERE ALIVYO WAANGAMIZA WAUMINI WAKE MARCH 17,2000

 

Na Amini Nyaungo

Kwa wale waliozaliwa miaka ya 2000 hebu chukueni hii story.

Kama ulikuwa umeamka wakati huu kuanzia mwaka 1999 hadi 2000 hii stori sio ngeni.

Stori ya Kibwetere hii hapa 👇👇

Jina lake kamili ni JOHN KIBWETERE yeye ndio maarufu wa tukio baya zaidi kuwahi kutokea katika nchi ya Uganda na Afrika Mashariki.

Masta maindi wa tukio hili alikuwa moja ya dada aliyekuwa kahaba baadae kuibukia katika Imani na kuwashawishi wengi kuangamia March 17,2000.

Jina moja nililolipata ni Mwerinde yeye ndio alikuwa na nguvu sana kuliko Joseph Kibwetere. Hii stori inahusu sana imani sitoingia kuhuko nitagusa juu juu ili yale maandiko yanayosema "Watu wangu wataangamia kwa kukosa maarifa"

Kwa stori hii lazima utakubali watu walioangamia wakati wa Kibwetere walikosa maarifa.

Nianze na kujitetea kwa msemo wa Mzee wa Upako Anthony Lusekelo kuwa 👉 “Wewe unaamini nini? baki na imani yako, lakini usivunje sheria za nchi.”

Maneno ya Wanasayansi Kibwetere alipita nayo .

Wakati dunia ya wanasayansi wakiwa na hofu kuwa mwaka 2000 huenda program za kompyuta zingeleta shida kutokana na kubadilika kwa tarakimu (99), wakahisi huenda zitashindwa kusoma, ndiyo ile ‘Y2K’; Kibwetere yeye aliwajaza hofu waumini wake kuwa ni mwaka wa mwisho wa dunia.

Maneno hayo ya Wanasayansi wala haikutokea mambo yalibaki vile vile kama ilivyokuwa hata ilipofika  ameshindwa katika siasa taaluma yake ni mwalimu baada ya kufeli sana alifanikiwa kujipata na kupata waumini ambao waliamini alichokuwa anasema.

Kibwetere alitengeneza sehemu ya Imani inayoitwa Kanungu ambapo alivuna  waumini takiribani 5000 na kuwapa maelezo mbalimbali ya imani.

Lakini alifanikiwa kuwaweka kanisani huku akiwaambia wasifanye chochote yaani wasijamiiane wala kuongea lengo lake lilikuwa wasipate mwanya wa maarifa ili atimize lengo lake.

Master Maindi Mwerinde yeye alikuwa anapigilia shoka kuwa anaoteshwa na Bikira Maria kila jambo hivyo. 

Huu mchezo hauhitaji hasira na vile maswala ya imani yalivyomagumu waliingia wengi katika kanisa hili.

Imani ambayo iliwafanya viongozi wa kikaresmatikis Credonia Mwerinde, mhudumu wa zamani kilabu cha pombe na mfanyabiashara wa ngono na mfanyakazi wa zamani wa serikali Joseph Kibwetere, ambaye alisema kuwa amepata maono kutoka kwa bikira maria tangu mwaka 1980.

Kundi hilo la kidini ambalo linaheshimu amri kumi za Mungu na kahubiri habari za Yesu.

Ishara ya ukiristo katika kundi hilo la kikristo ambalo lilikuwa halina uhusiano mzuri na kanisa katoliki  wahudumu wake ni mapadri na watawa ambao walikuwa walikuwa wametengwa na kanisa wakiwemo Ursula Komuhangi na Dominic Kataribabo.

WALIJUFAJE WANGAPI WALIKUFA HIYO MARCH 17,2000 ? ITAENDELEA.


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply