Na Amini Nyaungo
Babu amesema kuwa watu wasiangalie wanawake peke yake kuna sehemu anazozifahamu ambazo wanaume wanajiuza hivyo ni jukumu la kila mmoja kuzuia matendo haya.
" Kuna wanaume wanaojiuza wapo nafahamu ni jukumu letu kila mmoja akakemea matendo haya," Babu.
Ametumia nafasi hiyo kuwapongeza polisi kwa kazi nzuri wanazozifanya kuweza kuratibu mambo mbalimbali akisema kuwa wanafanya vitu vizuri kila mmoja ashirikiane nao.
Amewaasa wananchi kuacha lawama kwa Jeshi la Polisi wapo wachache matendo ya ukatili ni mengi njia bora kuungana nao.
Ametumia fursa hiyo kuwakumbusha umuhimu wa kufanya mazoezi kwa ajili ya afya zao huku wazazi wawapeleke watoto wao katika vitup mbalimbali vua michezo kama wanavipaji vua mpira kwani kwa sasa mpira ni ajira kubwa.
Mwisho amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake za kulikomboa taifa katika mambo mbalimbali.
*KATAA UKATILI WEWE NI SHUJAA*
No comments: