ANGALIA UTAJIRI WA WACHEZAJI BRAZIL

Timu ya taifa ya Brazil imejaaliwa kuwa na wachezaji wengi wenye vipaji vya hali ya juu.

Hapa nakuweka vikosi vitano tofautitofauti vya wachezaji wa Brazil utasema mwenyewe nchi gani ina vipaji kama hivi. 



Kikosi cha kwanza hiki hapa angalia wachezaji wake walivyosheheni vipaji.



Hiki chini kikosi cha pili ambapo kocha aaweza kuwata.



Hiki ni cha tatu pia kinaweza kuitwa na unaweza kuona aina ya wachezaji wake.




Hiki kikosi cha nne cha timu ya taifa ya Brazil. 

Hiki ni kikosi cha tano kama wakiamua kukiita hiki. 



Post a Comment

Previous Post Next Post