AYRASTAR NA TERMS WAWAUMBUA MASHABIKI



Wanamuziki wanaopambanishwa katika nchi ya Nigeria Tems na Ayrastar wameonekana wapo pamoja.



Hii inaonesha kama wamewaumbua mashabiki ambao wanagombanisha wao wanakula. 



Nadra kuona wasanii ambao wapo Katika ushindani wako pamoja na wana burudukia.

Ayra wengi wanasema anamuiga Terms katika kuimba huku mashabiki wakiwa na upande wao. 

Post a Comment

Previous Post Next Post