MOTO UMEZIMWA SHUGHULI ZA UOKOAJI ZINAENDELEA

 Na Amini Nyaungo



Baada ya kutokea ajali ya moto ndani ya soko kuu Mkoani Singida asubuhi hii mambo yamekuwa shwari kinachoendelea ni shughuli za uokoaji wa vitu mbalimbali.


Baada ya shughuli hizo kutamatika waandishi wa habari wataruhusiwa sasa kupata taarifa kamili juu ya tukio hili.


Lakini hadi sasa moto umezimwa vizuri kabisa lakini uharibifu ni mkubwa mno.


Moto huo umetokea siku ya jana July 4,2025 na kuzimwa July 05,2025 saa saba usiku.

Endelea kufuatilia Chamber Media kwa taarifa zaidi.

Post a Comment

Previous Post Next Post