FATMA KARUME "NILISHTUSHWA" MAKONDA KUONDOLEWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA


Na Amini Nyaungo



Mke wa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), Abeid Karume ,Mama Fatma Karume amesema alipokea kwa mshtuko mabadiliko yaliyofanywa na Rais Dokta Samia Suluhu Hassan Hassani ya kumuondoa Paul Makonda kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha.


Amesema hayo katika Jukwaa la Wanawake Mkoani Arusha ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Balozi Dokta Emanuel Nchimbi amebainisha kuwa ameshtuka kuona Makonda ameondolewa katika Ukuu wa Mkoa lakini baadae amepata fununu ambapo hajazitaja ni zipi.


"Nimeshtushwa na taarifa za Makonda kuondolewa lakini baadae nimepata fununu," Karume," Karimu


Taarifa zinasema Makonda anaenda kugombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini.

Mwisho

Post a Comment

Previous Post Next Post