HABARI PICHA: GWAU ALIVYOPOKELEWA NA VIONGOZI WA CCM IRAMBA

Na Amini Nyaungo

Mbunge wa Viti Maalum Martha Gwau ziara yake ya kuwaona wanawake wa Iramba yaani Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Iramba (UWT)  ulikuwa na furaha sana baada ya viongozi mbalimbali kumpokea.

Chini hapo ni habari picha wakati anapokelewa na alipofika ukumbini.

Aliyekuwa Katibu wa UWT Iramba ndugu Kilimba akisalimiana na Martha Gwau.
Katibu wa Uenezi na Hamasa wa CCM wa Iramba naye hakuwa mbali.
Hapo sasa amefika ukumbini namna walivyotulia na kumsikiliza.
Wajumbe wakifurahia jambo ukumbuni
Bado wanaendelea kuwa makini na kusikiliza kile anachoongea Mheshimiwa Mbunge.
Furaha na amani iliendelea kutawala angalia wakimpongeza baada ya kumaliza mazungunzo yake.
Mambo ni safi kabisa unaona picha inavyosema ?
Je unahituhitaji kwa ajili ya shughuli yako tuiweke Chamber Media ? Tutafute 0717519981

Post a Comment

Previous Post Next Post