Na Amini Nyaungo
Amesema hayo leo alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari mkoani hapa akisema kuwa kutokana na ubora wa jezi zao na kuwajali mashabiki wanaoisaidia kuingia uwanjani."Anayesambaza jezi ametushauri na sisi tumeona tupunguze bei ya jezi zetu kuanzia mzigo unaoingia sasa hivi utauzwa kiasi cha shilingi elf 22 na na jumla elf ishirini," Masanza
Masanza amesema kuwa wamepokea tahadhari kutoka Bodi ya ligi kuwa waendelee kuboresha uwanja wao kwa kadri wanavyoendelea kuna sehemu za uwanja zinaharibika.
"Tumepata tahadhari kutoka Bodi ya ligi juu ya uwanja wetu hivyo inatakiwa kuwa na tahadhari usije ukafungiwa," Masanza.
Mwisho





Post a Comment