Na Amini Nyaungo

Akiongea leo na Waandishi wa Habari mkoani Singida amesema kuwa uwanja wao utakuwa katika viwango bora baada ya tajiri Bakherasa pamoja na Mohamed Dewj kutaka kusaidia ujenzi wa uwanja huo.
Masanza amesema kwakuwa bado lipo katika mazungunzo na yanaendelea vizuri ni vyema wakae kimya ila ana amini uwanja utakuwa vizuri na ukimalizika utazinduliwa na mechi kubwa.
"Niwaambie Waandishi na Watanzania Bakheresa pamoja na Mo Dewji kuingia katika ujenzi wa uwanja huo,"Masanza
Masanza hakusema kuwa wanategemea unaisha lini lakini ameweka wazi kuwa wakati utakapofika kila kitu kitaenda vizuri.
Mwisho
Post a Comment