Na Amini Nyaungo
Aliyekuwa Meya wa
Manispaa ya Singida Yagi Maulid Kiaratu amepita katika mchujo wa wagombea Chama
Cha Mapinduzi (CCM) TAIFA ambapo sasa kazi iliyobaki ni sehemu ya mkoa kwa
ajili ya kuwakilisha chama hicho mkoa wa Singida.
Kiaratu aliwahi kuwa
Diwani wa kata ya Majengo pamoja na kuwa mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida
kwa kuanzia mwaka 2020 hadi mwaka huu wa 2024.
Aidha katika orodha yao
walirudi ni wagombea sita Mussa Sima ambaye ndiye aliyehudumu Jimbo hilo hadi
alipomaliza muda wake.
Waliorudi ni pamoja na
Yagi Kiaratu, Khalid Salum Mwinyigongo,Mussa Ramadhani Sima, Hassan Phillip
Mazala, Halima Saad Mhando, Hamis Ally Kilinga na Barnabas Massawe.
Miwsho


Post a Comment