SIDO YATOA MIKOPO YA SHILINGI 287.5 KWA VIKUNDI

 Na Jumbe Ismaili, Singida


SHIRIKA la Maendeleoyaviwandavidogo (SIDO) MkoawaSingidalimetoamikopoyenyethamaniyajumlayashilingi 287,500,000/= kwavikundi 84 pamojanamtummojammojawakiwepowatu 492 katikakipindi cha kuanziamwezi julai,2021 hadi machi,2023.
Menejawa SIDO MkoawaSingida,BiAgnesiYesayaamefafanuakwambakatiyakiasihicho cha fedha,shilingi 170,200,000/= kimetolewamikopokwawanaume297 nashilingi 117,300,000/= kimetolewamikopokwawanawake 279.

AidhaMenejahuyowaShirika la MaendeleoyaviwandavidogoMkoawaSingidaamezitajasektazilizokopeshwakuwa ni pamojanaviwanda,kilimo, ufugaji,biasharanahudumazingine.

Akizungumziahali ya urejeshwajiwamikopohiyo,BiAgenesiamebainishakwambaurejeshwajiwamikopoinayotolewanashirika hilo umefikiaasilimia 95 ya kiasichamtajikilichokopeshwa.
Hatahivyomeneja huyo amewekawazipiakuwakupitiamfukowakuwezeshawajasiriamaliwasindikajiwadhamanakwakushirikiananabenki ya CRDB,jumla ya viwanda 6 vimeunganishwanabenkihiyonakupatamikopoyenyethamani ya shilingimilioni 270.




Kwamujibuwameneja huyowa SIDO sektazilizofaidikanafedha hizo ni pamojanaviwandavyaAlizeti,viwandavyakukoboaMpunganaviwandavyakusaganakukoboamahindi.

AidhaBi Agnesihatahivyohakusitakuzitajachangamotowanazokabiliananazokuwa ni upungufuwawafanyakazikatika nyanja zaAfisaanayeshughulikiamaendelea ya teknolojianaviwanda,KatibuMuhtasipamojanaAfisawamasualaya fedha.
Changamotozingine ni ukosefuwafedhakwaajiliya kutekelezamipangowaliyojiwekea,ikiwemokuendelezanakuboreshamtaawaViwandapamojanakuwatembeleawajasiriamaliwilayani.




Changamotozingine ni ukosefuwafedhakwaajiliya kutekelezamipangowaliyojiwekea,ikiwemokuendelezanakuboreshamtaawaViwandapamojanakuwatembeleawajasiriamaliwilayani.










Post a Comment

Previous Post Next Post