*Taarifa kuhusu mgao wa Fedha za Mfuko wa Jimbo la Singida Kaskazini January, 2025*
*Mhe. mbunge wa Jimbo la singida kaskazini Ramadhani Ighondo anapenda kuutaarifu umma na wananchi kuwa amepokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa mwaka wa fedha 2024/2025, Kiasi Cha Tshs 84,660,000/=**Tarehe 02/01/2025 kamati ya mfuko wa Jimbo ikiongozwa na Mhe Mbunge ilifanya ziara ya kukagua miradi iliyopewa fedha za mfuko huo Kwa kipindi Cha nyuma ambapo walitembelea miradi kadhaa jimboni*
*Tarehe 03 /01/2025 Mhe. Mbunge aliongoza kikao cha kamati ya mfuko wa Jimbo na kugawa fedha hizo katika miradi mbalimbali kama ifuatavyo:*
2.*Mrama: Kuvuta maji Zahanati ya makhandi Tshs.2,000,000/=*
3.*Mgori - ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa shule ya Msingi munkhola sh.3,000,000/=.*
4.*Merya: ujenzi wa zahanati ya Kijiji Cha Merya Tshs.4,000,000/=*
5.*Itaja: Ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu shule ya Msingi itaja Tshs.2,600,000/=.*
6.*Msisi: ukamilishaji wa madarasa 2 na ofisi shule shikizi mijuhu - Ntondo Tshs 5,000,000/=*
7.*Merya: Ukamilishaji wa madarasa 2 shule ya Msingi mvae* *Tshs.1,000,000/=*
8.*Mwasauya: Ununuzi wa magodoro ya vitanda vya hosteli shule ya secondary Mwasauya Tshs.5,000,000/=*
9.*Mtinko: Ununuzi wa madawati shule ya Msingi Muungano Tshs.2,500,000/=*.
10. .*Ilongero: ujenzi wa vyoo shule ya Msingi sekoutoure Tshs.3,000,000/=*.
11.*Mrama: Ujenzi wa vyoo shule ya Msingi mwakiti Tshs.3,000,000/=.*
12.*Kinyagigi: Ujenzi wa madarasa shule shikizi Sinawida Tshs 5,000,000/=.*
12.*Mughunga:Ukamilishaji wa vyumba vya Madarasa shule shikizi Nduamuganga Tshs.5,000,000/=*.
13.*Ngimu: Ukamilishaji wa vyumba 2 na ofisi ya shule ya Msingi Pohama (Itaho) Tshs 3,000,000/=*
14.*Mwasauya: Matengenezo ya Kisima cha maji - Sokoine Tshs 7,000,000/=.*
15 .*Ikhanoda: Kununua mabomba na vifaa vya kusambaza maji - Ikhanoda Tshs 5,000,000/=.*
16.*Mgori: Viti na meza 50 Shule ya Sekondari Mwanamwema Shein Tshs 3,000,000/=.*
17. *Makuro: Ukarabati wa madarasa Shule ya Msingi Ngo'ngoampoku Tshs 2,500,000/=.*
18.*Mughamo: Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa shule shikizi mwandumo Tshs 5,000,000/=*.
19.*Maghojoa: Ukamilishaji wa nyumba ya Mganga zahanati ya mwachambia Tshs 3,000,000/=.*
20.*Msange: Ujenzi wa vyoo shule ya Msingi Sefunga Tshs 4,000,000/=*.
21.*Ntonge: Ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu shule ya Msingi Ifombou Tsh 4,000,000/=.*
22. *Ngimu: Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule shikizi ya Mkese Tshs 2,160,000/=*.
Imetolewa na:
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Singida Kaskazini

Post a Comment