Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini Tanzania umefanyika leo kila mmoja akisubiria kusikia matokeo.
Chamber Media tunakuletea picha za Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Martha Gwau akiwa anapiga kura pamoja na video yake baada ya kupiga kura.Ndio hivyo tena kashapoga kura
Anamaliza sehemu ya mwisho kuweka karatasi yake ya kupigia kura
Hapa akipewa karatasi kwa ajili ya kupiga kura
Maelezo kidogo kwa wasimamizi wa kituo cha kupigia kura.
Hapa akiangalia jina lake je ana lipo lakini baadae kaliona na akaingia kupiga kura.
Wasimamizi wenyewe wamefurahi amepiga kura na wamefurahi kwa kushikana mkono.
Ilifika mida ya picha vijana wameomba ukumbusho wa picha kwa Mhe. GWAU.





















Post a Comment