Na Amini Nyaungo

Katika hotuba yake Rais Samia aliyoitoa leo amesema kuwa wamesaini katika maeneo mbalimbali kukuza sekta za nchi hizi mbili.
Kwa maelezo ya Rais Samia amesema kutokana na kulega lega kwa biashara ndio maana wameona waimarishe eneo hilo.
"Tumeamua kuimarisha katika maeneo ya kibiashara, Afya, Miundombinu pamoja na Nishati," Samia
Katika eneo la biashara wameona waimarishe eneo la biashara ya korosho ambayo inalimwa zaidi Msumbiji na Mtwara Tanzania.
Lakini pia wamesaini mkataba katika kuimarisha Uwekezani, Miundombinu, Nishati
Rais Samia wa Tanzania na Nyusi wa Msumbuji walivyokubaliana kushirikiana mambo ya kiuchumi.
Mwisho
Post a Comment