Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida kwa Vijana Nusrat Hanje leo amefanya tamasha la vijana kata ya Mungaa Wilaya ya Ikungi mkoani hapa ambapo limefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana.
Katika tamasha hilo lililokuwa na matukio mengiyenye kutia faraja wananchi wamejitokeza kwa wingi kuangalia burudani ya michezo mbalimbali.
Aidha katika tamasha hilo lilikuwa na michezo mbalimbali ambapo kila mchezo alitoa zawadi kwa mshindi wa Kwanza na wapili.
Hanje ameendelea kuhubiri amani na utulivu wa nchi yetu.
NAMNA GANI LIMEBAMBA ANGALIA NYOMI
Wakazi wa Kata ya Mungaa wakionesha upendo kwa Rais Samia pamoja Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje.
Ilifika muda wa zawadi mbalimbali kwa washiriki.
No comments: