Baadhi ya maashabiki wa timu ya Simba wametoa maoni yao huku wakiomba aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo Barbara Gonzalez arejee katika nafasi hiyo.
Hayo yamejiri katika kipindi cha Michezo cha Standard Radio Sports Cycle kinachoendeshwa na Amini Nyaungo wasikilizaji wamepiga simu na kutoa maoni yao.
Mmoja katika ya waliotoa maoni yao msikilize kafika katika video hapo chini
Post a Comment