Katika kuendelea kuwaenzi na kumumbusha waloyoyafa ya watu mbalimbali.
Leo Chamer Media inakuletea Juma Ahmed Baragaza alikiwasha sana pale Sahara Media kupitia Radio Free Afrika.
Juma ahamed Baragaza kipindi hicho Redio free(RFA) jamaa alikua anatangaza kipindi cha saa kumi kilikua kinaitwa mambo mambo...kipindi kilikua kinachangizwa na ule wimbo wa mambo mambo eeeh!...
Alifanya vizuri Wanyaturu wanasema "Game recognize game" amefanya makubwa sana nawe unamkumbuka kwa kipi huyu Legendari

Post a Comment