IRAMBA MASHARIKI WAMUOMBA KISHOA KUGOMBEA UBUNGE

 

Na Robert Onesmo



Wananchi wa wilaya ya Mkalama Mkoani Singida, wamemuomba Mbunge wa viti maalumu kupitia Chama Cha Demokrasia (CHADEMA) Jesca David Kishoa Kugombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).



Wananchi hao wameyasema hayo yao  leo May 24 2025 kupitia mkutano wa hadhara uliofanywa na Mbunge huyo katika kata ya Iguguno wilayani Mkalama Mkoani Singida ambapo wamekiri kwa kusema kuwa mbunge huyo amekuwa akifanya kazi njema ya kuisadia jamii pamoja na kuwezesha Miradi ya maendeleo wilayani humo.



Baada ya maombi hayo Mhe.Jesca Kishoa kwa ridhaa yake amekubali Kugombea nafasi hiyo ya Ubunge Jimbo la  Iramba Mashariki huku akitaja Chama cha Mapinduzi kuwa atagomnea kupitia hapoa mbacho atakitumia Kugombea nafasi hiyo.

"Nitagombea kupitia chama cha Mapinduzi " Kishoa



Aidha ameweza kukabidhi nyumba aliyomjemgea kijanaa Musaa Ali mlemavu aliyekimbiwa na mama yake ambaye analelewa na bibi yake nyumba hiyo ina thamani ya milioni 15.

Mwisho

Post a Comment

Previous Post Next Post