Na Amini Nyaungo
Wachezaji wanne wa Real Madrid wanatuhumiwa kufanya vitendo visivyo vya kiungwana walipocheza dhidi ya Atletico Madrid.
Wachezaji hao walionesha
ishara za matusi kwa kushika sehemu zao za siri wakati wa kushangilia.
Baadha ya kuona vitendo
hivyo UEFA wanaendelea na uchunguzi wakibaini kama wamefanya vitendo hivyo basi
watafungiwa kwa baadhi ya mechi na kama uchunguzi ukikamilika kabla ya mchezo
wa Arsenal utakaofanyika April 8 Emirate basi watafungiwa kuanzia mchezo huo.
Mwisho


Post a Comment