Na Amini Nyaungo
Jukumu la kuchagua kiongozi bora linabakia kwa Mwananchi ili aweze kuleta maendeleo katika eneo analoishi.
Hayo ameyasema leo Mwenyekiti wa SMAUJATA Mkoa wa Singida Ambwene Kajula katika kikao cha mkoa kwa wanchama wa SMAUJATA waliohudhuriaa katika ukumbi wa Chuo cha Uhasibu mkoani hapa.
Katika maelezo yake Kajula amesema kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa kila mmoja aliye na vigezo ya kupiga kura inatakiwa afike katika aneo la kumchagua yule mtakaye.
SMAUJATA ni Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania wanaoshughulikia maswala ya kupinga na kukataza Ukatili wa Kijinsia na mambo mbalimbali ya kijamii.
Mwisho
No comments: